وَمَا عَلَيۡنَآ إِلَّا ٱلۡبَلَٰغُ ٱلۡمُبِينُ ١٧
Wamā 'alaynā illal-balāghul-mubīn
Wala si juu yetu ila kufikisha ujumbe ulio wazi. 17
Maelezo ya chini
17 Na sisi hatuna waajibu wowote ila kufikilisha ujumbe wa Mwenyezi Mungu ufike kwa uwazi.