قَالُواْ رَبُّنَا يَعۡلَمُ إِنَّآ إِلَيۡكُمۡ لَمُرۡسَلُونَ ١٦
Qālū rabbunā ya'lamu innā ilaykum lamursalūn
Wakasema: Mola wetu Mlezi anajua kwamba hakika sisi tumetumwa kwenu. 16
Maelezo ya chini
16 Wale Wajumbe wakasema: Mola wetu Mlezi aliye tutuma anajua kuwa hakika sisi bila ya shaka tumetumwa kwenu.