Surat Sad, aya 82

38:82

قَالَ فَبِعِزَّتِكَ لَأُغۡوِيَنَّهُمۡ أَجۡمَعِينَ ٨٢

Qāla fabi'izzatika la ughwiyannahum ajma'īn

Akasema (Iblisi): Naapa kwa utukufu wako, bila ya shaka nitawapoteza wote, 82

Maelezo ya chini

82 Iblisi akasema: Basi naapa kwa Ukubwa wako na Utukufu wako, kwa yakini nitawapoteza watu wote, isipo kuwa waja wako ulio wateuwa kwa ajili ya kukut'ii Wewe. Hao sina madaraka nao.