Surat Sad, aya 83

38:83

إِلَّا عِبَادَكَ مِنۡهُمُ ٱلۡمُخۡلَصِينَ ٨٣

Illā 'ibādaka minhumul-mukhlasīn

Isipo kuwa wale waja wako miongoni mwao walio khitariwa. 83

Maelezo ya chini

83 Isipo kuwa waja wako ulio wateuwa kwa ajili ya kukut'ii Wewe. Hao sina madaraka nao.