Surat Sad, aya 81

38:81

إِلَىٰ يَوۡمِ ٱلۡوَقۡتِ ٱلۡمَعۡلُومِ ٨١

Ilā yawmil-waqtil-ma'lūm

Mpaka siku ya wakati maalumu. 81

Maelezo ya chini

81 Akasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Basi wewe utaakhirishwa, utapewa muhula, mpaka siku ya wakati tunao ujua Sisi, nao ni kumalizika dunia.