Surat Sad, aya 80

38:80

قَالَ فَإِنَّكَ مِنَ ٱلۡمُنظَرِينَ ٨٠

Qāla fa innaka minal-munzarīn

Mwenyezi Mungu akasema: Basi umekwisha kuwa miongoni mwa walio pewa muhula, 80

Maelezo ya chini

80 Akasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Basi wewe utaakhirishwa, utapewa muhula, mpaka siku ya wakati tunao ujua Sisi, nao ni kumalizika dunia.