Surat Sad, aya 77

38:77

قَالَ فَٱخۡرُجۡ مِنۡهَا فَإِنَّكَ رَجِيمٞ ٧٧

Qāla fakhruj minhā fa innaka rajīm

Akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe umelaanika. 77

Maelezo ya chini

77 Mwenyezi Mungu Mtukufu, kwa kumlipa Iblisi kwa kiburi chake cha kukataa amri ya Mola wake Mlezi, alimwambia: Basi toka kwenye kundi la watukufu walio juu, kwani wewe umekwisha fukuzwa kutokana na rehema yangu!