وَإِنَّ عَلَيۡكَ لَعۡنَتِيٓ إِلَىٰ يَوۡمِ ٱلدِّينِ ٧٨
Wa inna 'alayka la'natī ilā yawmid-dīn
Na hakika laana yangu itakuwa juu yako mpaka Siku ya Malipo. 78
Maelezo ya chini
78 Na hakika wewe umetengwa mbali na kila kheri mpaka Siku ya Malipo. Hapo utalipwa kwa sababu ya kunikufuru Mimi na kunifanyia kiburi.