Surat Sad, aya 7

38:7

مَا سَمِعۡنَا بِهَٰذَا فِي ٱلۡمِلَّةِ ٱلۡأٓخِرَةِ إِنۡ هَٰذَآ إِلَّا ٱخۡتِلَٰقٌ ٧

Mā sami'nā bihādhā fil-millatil-ākhirati in hādhā illakhtilāq

Sisi hatukusikia haya katika mila hii ya mwisho. Haya si chochote ila ni uzushi tu. 7

Maelezo ya chini

7 Hatujapata kusikia haya mambo ya Tawhidi, kumfanya Mungu mmoja tu, katika dini ya baba zetu tulio wawahi kuwaona. Haya si chochote ila ni uwongo tu ulio zuliwa.