قُلۡ هُوَ نَبَؤٌاْ عَظِيمٌ ٦٧
Qul huwa naba'un 'azīm
Sema: Hii ni khabari kubwa kabisa. 67
Maelezo ya chini
67 Ewe Muhammad! Waambie: Haya ninayo kuambieni ni khabari kubwa, ambazo nyinyi mnazipuuza. Msizikanye!
قُلۡ هُوَ نَبَؤٌاْ عَظِيمٌ ٦٧
Qul huwa naba'un 'azīm
Sema: Hii ni khabari kubwa kabisa. 67
67 Ewe Muhammad! Waambie: Haya ninayo kuambieni ni khabari kubwa, ambazo nyinyi mnazipuuza. Msizikanye!