جَنَّٰتِ عَدۡنٖ مُّفَتَّحَةٗ لَّهُمُ ٱلۡأَبۡوَٰبُ ٥٠
Jannāti 'adnim mufattahatal lahumul-abwāb
Bustani za milele zitazo funguliwa milango yao kwa ajili yao. 50
Maelezo ya chini
50 Wameandaliwa bustani za milele zilizo funguliwa milango yao hapana wa kuwazuia wasiingie humo.