Surat Sad, aya 48

38:48

وَٱذۡكُرۡ إِسۡمَٰعِيلَ وَٱلۡيَسَعَ وَذَا ٱلۡكِفۡلِۖ وَكُلّٞ مِّنَ ٱلۡأَخۡيَارِ ٤٨

Wadhkur ismā'īla wal-yasa'a wadhal-kifli wakullum minal-akhyār

Na mkumbuke Ismail na Alyasaa na Dhulkifli, na wote hao ni katika walio bora. 48

Maelezo ya chini

48 Na mkumbuke Ismail, na Alyasaa, na Dhalkifli - na wote hao ni miongoni mwa walio bora.