وَءَاخَرِينَ مُقَرَّنِينَ فِي ٱلۡأَصۡفَادِ ٣٨
Wa ākharīna muqarranīna fil-asfād
Na wengine wafungwao kwa minyororo. 38
Maelezo ya chini
38 Na wengine katika hao mashetani wamefungwa wao kwa wao kwa minyororo, kuwazuia na wenginewe wasifanye ufisadi wao.