رُدُّوهَا عَلَيَّۖ فَطَفِقَ مَسۡحَۢا بِٱلسُّوقِ وَٱلۡأَعۡنَاقِ ٣٣
Ruddūhā 'alayya fatafiqa mashā bis-sūqi wal-a'nāq
Nirudishieni! Akaanza kuwapapasa miguu na shingo. 33
Maelezo ya chini
33 Akaamrisha warudishwe tena kwake apate kujua hali yao. Akaingia kuwapapasa miundi ya miguu yao na shingo zao kwa upole na mapenzi juu yao.