Surat As-Saffat, aya 182

37:182

وَٱلۡحَمۡدُ لِلَّهِ رَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ١٨٢

Wal-hamdu lillāhi rabbil-'ālamīn

Na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa walimwengu wote. 182

Maelezo ya chini

182 Na sifa njema ni za Mwenyezi Mungu peke yake, Muumba wa viumbe vyote, na Mwenye kuwaangalia makhaluku wote.