وَأُزۡلِفَتِ ٱلۡجَنَّةُ لِلۡمُتَّقِينَ غَيۡرَ بَعِيدٍ ٣١
Wa uzlifatil-jannatu lil-muttaqīna ghayra ba'īd
Na Pepo italetwa karibu kwa ajili ya wachamngu, haitakuwa mbali. 31
Maelezo ya chini
31 Na Pepo iliyo pambwa italetwa karibu kwa ajili ya wenye kumcha Mola wao Mlezi, kwa kufuata amri zake na kuyaepuka makatazo yake, iletwe pahala pasipo kuwa mbali nao.