أَءِذَا مِتۡنَا وَكُنَّا تُرَابٗاۖ ذَٰلِكَ رَجۡعُۢ بَعِيدٞ ٣
A'idhā mitnā wakunnā turāban dhālika raj'u ba'īd
Ati tukifa na tukawa udongo? Kurejea huko kuko mbali! 3
Maelezo ya chini
3 Ati baada ya kwisha kufa na tukawa udongo, tutafufuliwa tena? Huko kufufuliwa baada ya kufa ni marejeo yaliyo mbali, hayawi.