Surat Qaf, aya 20

50:20

وَنُفِخَ فِي ٱلصُّورِۚ ذَٰلِكَ يَوۡمُ ٱلۡوَعِيدِ ٢٠

Wanufikha fis-sūri dhālika yawmul-wa'īd

Na litapulizwa baragumu. Hiyo ndiyo Siku ya Miadi. 20

Maelezo ya chini

20 Na baragumu litapulizwa kwa mpulizo wa kuwafufua watu. Kupulizwa huko kutakuwa siku hiyo ya kuteremka adhabu waliyo ahidiwa.