سَيَهۡدِيهِمۡ وَيُصۡلِحُ بَالَهُمۡ ٥
Sayahdīhim wayuslihu bālahum
Atawaongoza na awatengezee hali yao. 5
Maelezo ya chini
5 Na walio uwawa katika njia ya Mwenyezi Mungu kabisa hatoacha vitendo vyao vipotee. Atawahidi, na azitengeneze nyoyo zao, na awatie katika Pepo aliyo kwisha wajuulisha.