Surat Muhammad, aya 24

47:24

أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ ٱلۡقُرۡءَانَ أَمۡ عَلَىٰ قُلُوبٍ أَقۡفَالُهَآ ٢٤

Afalā yatadabbarūnal-qur'āna am 'alā qulūbin aqfāluhā

Je! Hawaizingatii hii Qur'ani? Au kwenye nyoyo (zao) zipo kufuli? 24

Maelezo ya chini

24 Wameingia upofu hata hawaufahamu uwongofu wa Qur'ani? Bali kwenye nyoyo zao zipo kufuli zinawazuia wasiizingatie.