Surat Luqman, aya 2

31:2

تِلۡكَ ءَايَٰتُ ٱلۡكِتَٰبِ ٱلۡحَكِيمِ ٢

Tilka āyātul-kitābil-hakīm

Hizi ni Aya za Kitabu chenye hikima. 2

Maelezo ya chini

2 Hizi Aya tukufu ni Aya za Qur'ani iliyo kusanya hikima na ukweli.