Surat Luqman, aya 3

31:3

هُدٗى وَرَحۡمَةٗ لِّلۡمُحۡسِنِينَ ٣

Hudan warahmatal lil-muhsinīn

Kuwa ni Uwongofu na Rehema kwa wafanyao wema! 3

Maelezo ya chini

3 Hizi Aya ni Uwongofu ulio kamilika, na Rehema iliyo kusanya kwa wenye kutenda mema.