Innallaha wa mala'ikatahu

Tafsiri: Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِيِّۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ صَلُّواْ عَلَيۡهِ وَسَلِّمُواْ تَسۡلِيمًا ٥٦

Innallāha wamalā'ikatahū yusallūna 'alan-nabiyyi yā'ayyuhal-ladhīna āmanū sallū 'alayhi wasallimū taslīmā

Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu. 56

Maelezo ya chini

56 Hakika Mwenyezi Mungu anamrehemu Nabii wake na yu radhi naye. Na Malaika wanamwombea yeye. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.

Matamshi kwa Kilatini ni msaada wa kusoma ulioandikwa na Qabas kutoka kwa Kiarabu. Jifunze herufi za Kiarabu na tajwidi kwa matamshi sahihi.

Soma Surat Al-Ahzab yote

Maswali

Innallaha wa mala'ikatahu iko wapi katika Qur'ani?

Innallaha wa mala'ikatahu iko katika Surat Al-Ahzab, 33:56.