Surat Ibrahim, aya 50

14:50

سَرَابِيلُهُم مِّن قَطِرَانٖ وَتَغۡشَىٰ وُجُوهَهُمُ ٱلنَّارُ ٥٠

Sarābīluhum min qatirānin wataghshā wujūhahumun-nār

Nguo zao zitakuwa za lami, na Moto utazigubika nyuso zao. 50

Maelezo ya chini

50 Ngozi zao zimepakwa lami inayo chiririka, imekuwa kama ndio nguo juu ya ngozi zao. Na moto umewapamba na kuwagubika nyuso zao.