Surat Ibrahim, aya 49

14:49

وَتَرَى ٱلۡمُجۡرِمِينَ يَوۡمَئِذٖ مُّقَرَّنِينَ فِي ٱلۡأَصۡفَادِ ٤٩

Wataral-mujrimīna yawma'idhim muqarranīna fil-asfād

Na utaona wakhalifu siku hiyo wamefungwa katika minyororo; 49

Maelezo ya chini

49 Utawaona makafiri Siku ya Kiyama wamefungwa pingu pamoja na mashetani wao.