Surat Hud, aya 106

11:106

فَأَمَّا ٱلَّذِينَ شَقُواْ فَفِي ٱلنَّارِ لَهُمۡ فِيهَا زَفِيرٞ وَشَهِيقٌ ١٠٦

Fa ammal-ladhīna shaqū fafin-nāri lahum fīhā zafīrun washahīq

Ama wale wa mashakani hao watakuwamo Motoni wakiyayayatika na kukoroma. 106

Maelezo ya chini

106 Ama wale wenye mashaka mwisho wao ni Motoni. Kuvuta pumzi kwao kutakuwa ni kwa machungu makubwa, na mikoromo na kuyayatika, wanapo vuta pumzi na kutoa.