Surat Hud, aya 104

11:104

وَمَا نُؤَخِّرُهُۥٓ إِلَّا لِأَجَلٖ مَّعۡدُودٖ ١٠٤

Wamā nu'akkhiruhū illā li ajalim ma'dūd

Na Sisi hatuiakhirishi ila kwa muda unao hisabiwa. 104

Maelezo ya chini

104 Wala Sisi hatuiakhirishi ila kwa muda mfupi tuliyo kwisha uwekea kiwango. Na ingawa kwa nadhari ya watu itaonekana iko mbali, kwa Mwenyezi Mungu ni muda mchache tu.