إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗ لِّمَنۡ خَافَ عَذَابَ ٱلۡأٓخِرَةِۚ ذَٰلِكَ يَوۡمٞ مَّجۡمُوعٞ لَّهُ ٱلنَّاسُ وَذَٰلِكَ يَوۡمٞ مَّشۡهُودٞ ١٠٣
Inna fī dhālika la'āyatal liman khāfa 'adhābal-ākhirati dhālika yawmum majmū'ul lahun-nāsu wadhālika yawmum mashhūd
Hakika katika haya ipo ishara kwa yule anaye ogopa adhabu ya Akhera. Hiyo ndiyo Siku itakayo kusanyiwa watu, na hiyo ndiyo Siku itakayo shuhudiwa. 103
Maelezo ya chini
103 Hakika katika hadithi hizi yapo mawaidha yanayo faa kuzingatiwa na wenye kuyakinika kuwa kupo kufufuliwa, na kwa wenye kukhofu adhabu ya Siku ya Mwisho! Siku hiyo ndiyo Siku ya kukusanywa watu kwa ajili ya hisabu, na Siku hiyo itashuhudiwa na Malaika na watu pia.