Surat Fussilat, aya 7

41:7

ٱلَّذِينَ لَا يُؤۡتُونَ ٱلزَّكَوٰةَ وَهُم بِٱلۡأٓخِرَةِ هُمۡ كَٰفِرُونَ ٧

Alladhīna lā yu'tūnaz-zakawāta wahum bil-ākhirati hum kāfirūn

Ambao hawatoi Zaka na wanaikataa Akhera. 7

Maelezo ya chini

7 Na washirikina wasio toa Zaka kuwapa wanao stahiki watapata adhabu kali. Na wao tu, si wenginewe, ndio wanao kataa kuwa upo uhai wa Akhera.