إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُمۡ أَجۡرٌ غَيۡرُ مَمۡنُونٖ ٨
Innal-ladhīna āmanū wa'amilus-sālihāti lahum ajrun ghayru mamnūn
Hakika wanao amini na wakatenda mema watakuwa na ujira usio na ukomo. 8
Maelezo ya chini
8 Hakika Waumini wanao tenda mema watapata malipo mazuri yasiyo katika.