وَنَجَّيۡنَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَكَانُواْ يَتَّقُونَ ١٨
Wanajjaynal-ladhīna āmanū wakānū yattaqūn
Na tukawaokoa walio amini na wakawa wanamcha-mngu. 18
Maelezo ya chini
18 Na tukawaokoa kutokana na adhabu hii wale walio amini, na wakawa wanamcha Mwenyezi Mungu na wanaiogopa adhabu yake.