Surat Fatir, aya 26

35:26

ثُمَّ أَخَذۡتُ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْۖ فَكَيۡفَ كَانَ نَكِيرِ ٢٦

Thumma akhadhtul-ladhīna kafarū fakayfa kāna nakīr

Kisha nikawakamata walio kufuru. Basi kuchukia kwangu kulikuwaje? 26

Maelezo ya chini

26 Kisha nikawashika walio kufuru kwa mshiko mkali. Basi hebu angalia kulikuwaje kuchukia kwangu kwa vitendo vyao, na ghadhabu yangu juu yao!