Surat Fatir, aya 23

35:23

إِنۡ أَنتَ إِلَّا نَذِيرٌ ٢٣

In anta illā nadhīr

Hukuwa wewe ila ni mwonyaji. 23

Maelezo ya chini

23 Wewe huna jukumu ila la kufikisha Ujumbe na kuonya tu.