Surat Fatir, aya 17

35:17

وَمَا ذَٰلِكَ عَلَى ٱللَّهِ بِعَزِيزٖ ١٧

Wamā dhālika 'alallāhi bi'azīz

Na hilo si gumu kwa Mwenyezi Mungu. 17

Maelezo ya chini

17 Wala kukuhilikini nyinyi na kuwaleta wenginewe si muhali kwa Mwenyezi Mungu.