Surat Fatir, aya 16

35:16

إِن يَشَأۡ يُذۡهِبۡكُمۡ وَيَأۡتِ بِخَلۡقٖ جَدِيدٖ ١٦

In yasha' yudhhibkum waya'ti bikhalqin jadīd

Akitaka atakuondoeni na alete viumbe vipya. 16

Maelezo ya chini

16 Mwenyezi Mungu akitaka kukuteketezeni, basi atakuteketezeni kwa utimilivu wa uweza wake. Na alete uumbaji mpya utao ridhiana na hikima yake.