بَلِ ٱللَّهَ فَٱعۡبُدۡ وَكُن مِّنَ ٱلشَّٰكِرِينَ ٦٦
Balillāha fa'bud wakum minash-shākirīn
Bali muabudu Mwenyezi Mungu tu, na uwe miongoni mwa wenye kushukuru. 66
Maelezo ya chini
66 Ewe Mtume! Usiwakubalie kwa hayo wanayo kutaka, bali muabudu Mwenyezi Mungu peke yake, na uwe katika wanao mshukuru Yeye kwa neema zake.