قُلِ ٱللَّهُمَّ فَاطِرَ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ عَٰلِمَ ٱلۡغَيۡبِ وَٱلشَّهَٰدَةِ أَنتَ تَحۡكُمُ بَيۡنَ عِبَادِكَ فِي مَا كَانُواْ فِيهِ يَخۡتَلِفُونَ ٤٦
Qulillāhumma fātiras-samāwāti wal-ardi 'ālimal-ghaybi wash-shahādati anta tahkumu bayna 'ibādika fī mā kānū fīhi yakhtalifūn
Sema: Ewe Mwenyezi Mungu! Muumba mbingu na ardhi! Mjuzi wa yasiyo onekana na yanayo onekana! Wewe utahukumu baina ya waja wako katika waliyo kuwa wakikhitalifiana. 46
Maelezo ya chini
46 Ewe Muhammad! Sema, nawe umemwelekea Mola wako: Ewe Mwenyezi Mungu! Ewe Muumba mbingu na ardhi bila ya mithali! Ewe Mjuzi wa siri na dhaahiri! Wewe peke yako, ndiye wa kuhukumu baina ya waja wako katika hayo wanayo khitalifiana katika mambo ya dunia na Akhera. Basi hukumu baina yangu na hawa washirikina!