Surat Az-Zumar, aya 45

39:45

وَإِذَا ذُكِرَ ٱللَّهُ وَحۡدَهُ ٱشۡمَأَزَّتۡ قُلُوبُ ٱلَّذِينَ لَا يُؤۡمِنُونَ بِٱلۡأٓخِرَةِۖ وَإِذَا ذُكِرَ ٱلَّذِينَ مِن دُونِهِۦٓ إِذَا هُمۡ يَسۡتَبۡشِرُونَ ٤٥

Wa idhā dhukirallāhu wahdahushma'azzat qulūbul-ladhīna lā yu'minūna bil-ākhirati wa idhā dhukiral-ladhīna min dūnihī idhā hum yastabshirūn

Na anapo tajwa Mwenyezi Mungu peke yake nyoyo za wasio iamini Akhera huchafuka. Na wanapo tajwa wenginewe asiye kuwa Yeye basi wao hufurahi. 45

Maelezo ya chini

45 Na pindi akitajwa Mwenyezi Mungu peke yake, bila ya kutajwa miungu yao, nyoyo za wasio yaamini maisha ya Akhera hukunjana na kukasirika. Na wakitajwa miungu yao wanayo iabudu badala ya Mwenyezi Mungu wao huwa wepesi kufurahi na kustarehe.