وَٱلَّذِي جَآءَ بِٱلصِّدۡقِ وَصَدَّقَ بِهِۦٓ أُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡمُتَّقُونَ ٣٣
Walladhī jā'a bis-sidqi wasaddaqa bihī ulā'ika humul-muttaqūn
Na aliye ileta Kweli na akaithibitisha - hao ndio wachamngu. 33
Maelezo ya chini
33 Na wale walio ileta Haki na wakaisadiki ilipo wajia, hao ndio wachamngu kweli, wala si wengineo.