ثُمَّ إِنَّكُمۡ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ عِندَ رَبِّكُمۡ تَخۡتَصِمُونَ ٣١
Thumma innakum yawmal-qiyāmati 'inda rabbikum takhtasimūn
Kisha bila ya shaka mtagombana Siku ya Kiyama mbele ya Mola wenu Mlezi. 31
Maelezo ya chini
31 Kisha baada ya kufa kwenu mtafufuliwa mbele ya Mwenyezi Mungu mkishitakiana nyinyi kwa nyinyi.