إِنَّكَ مَيِّتٞ وَإِنَّهُم مَّيِّتُونَ ٣٠
Innaka mayyitun wa innahum mayyitūn
Kwa hakika wewe utakufa, na wao watakufa. 30
Maelezo ya chini
30 Hakika wewe, Muhammad, na wao wote mtakufa.