Surat Az-Zukhruf, aya 75

43:75

لَا يُفَتَّرُ عَنۡهُمۡ وَهُمۡ فِيهِ مُبۡلِسُونَ ٧٥

Lā yufattaru 'anhum wahum fīhi mublisūn

Hawatapumzishwa nayo na humo watakata tamaa. 75

Maelezo ya chini

75 Hawapunguziwi adhabu wakosefu hawa, wala haisitishwi, na wao watakata tamaa ya kuokoka.