Surat Az-Zukhruf, aya 74

43:74

إِنَّ ٱلۡمُجۡرِمِينَ فِي عَذَابِ جَهَنَّمَ خَٰلِدُونَ ٧٤

Innal-mujrimīna fī 'adhābi jahannama khālidūn

Kwa hakika wakosefu watakaa katika adhabu ya Jahannamu. 74

Maelezo ya chini

74 Hakika walio tenda makosa kwa ukafiri watakuwamo katika adhabu ya Jahannamu daima dawamu.