Surat Az-Zukhruf, aya 73

43:73

لَكُمۡ فِيهَا فَٰكِهَةٞ كَثِيرَةٞ مِّنۡهَا تَأۡكُلُونَ ٧٣

Lakum fīhā fākihatun kathīratum minhā ta'kulūn

Mnayo humo matunda mengi mtakayo yala. 73

Maelezo ya chini

73 Humo mtapata matunda ya namna nyingi, na kwa wingi, mtastarehe kuyala.