ٱدۡخُلُواْ ٱلۡجَنَّةَ أَنتُمۡ وَأَزۡوَٰجُكُمۡ تُحۡبَرُونَ ٧٠
Udkhulul-jannata antum wa azwājukum tuhbarūn
Ingieni Peponi, nyinyi na wake zenu; mtafurahishwa humo. 70
Maelezo ya chini
70 Siku ya Kiyama wataambiwa kwa kufanyiwa hishima: Ingieni Peponi, nyinyi na wake zenu, nanyi mmo katika furaha iliyo kubwa, ambayo itadhihiri kwenye nyuso zenu.