Surat Az-Zukhruf, aya 66

43:66

هَلۡ يَنظُرُونَ إِلَّا ٱلسَّاعَةَ أَن تَأۡتِيَهُم بَغۡتَةٗ وَهُمۡ لَا يَشۡعُرُونَ ٦٦

Hal yanzurūna illas-sā'ata an ta'tiyahum baghtatan wahum lā yash'urūn

Je! Nini wanangojea ila Saa iwajie kwa ghafla na wala wao hawatambui? 66

Maelezo ya chini

66 Makafiri hawangojei kitu baada ya kuipuuza Imani ila kuwafikia Saa kwa ghafla, nao wameghafilika nayo.