Surat Az-Zukhruf, aya 52

43:52

أَمۡ أَنَا۠ خَيۡرٞ مِّنۡ هَٰذَا ٱلَّذِي هُوَ مَهِينٞ وَلَا يَكَادُ يُبِينُ ٥٢

Am ana khayrum min hādhal-ladhī huwa mahīnun walā yakādu yubīn

Au mimi si bora kuliko huyu aliye mnyonge, wala hawezi kusema waziwazi? 52

Maelezo ya chini

52 Firauni akasema akizidisha ujabari: Bali mimi ni bora kuliko dhaifu huyu mnnyonge, asiye weza hata kubainisha wazi huo wito wake kwa ulimi wa fasaha.