خَٰلِدِينَ فِيهَآ أَبَدًاۚ إِنَّ ٱللَّهَ عِندَهُۥٓ أَجۡرٌ عَظِيمٞ ٢٢
Khālidīna fīhā abadan innallāha 'indahū ajrun 'azīm
Watadumu humo milele. Hakika kwa Mwenyezi Mungu yapo malipo makubwa. 22
Maelezo ya chini
22 Na wao watadumu huko Peponi hawatoki. Na hakika kwa Mwenyezi Mungu yapo malipo makubwa, na thawabu nyingi.