Surat At-Tawbah, aya 119

9:119

يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ ٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَكُونُواْ مَعَ ٱلصَّٰدِقِينَ ١١٩

Yā'ayyuhal-ladhīna āmanut-taqullāha wakūnū ma'as-sādiqīn

Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na kuweni pamoja na wakweli. 119

Maelezo ya chini

119 Enyi mlio amini! Simameni imara baraabara juu ya uchamungu na Imani. Na kuweni pamoja na wale walio wakweli katika kauli yao na vitendo vyao.