Surat At-Taghabun, aya 18

64:18

عَٰلِمُ ٱلۡغَيۡبِ وَٱلشَّهَٰدَةِ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡحَكِيمُ ١٨

'Ālimul-ghaybi wash-shahādatil-'azīzul-hakīm

Mwenye kujua siri na dhaahiri, Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 18

Maelezo ya chini

18 Yeye ni Mjuzi wa vilivyo fichikana na vinavyo onekana, Mwenye nguvu, Mtenda nguvu, Mwenye hikima katika mipango ya viumbe vyake, Mwenye kuweka kila kitu kwa pahala pake.